Sunday, 14 August 2011

JK awaandalia futari madiwani wa jiji la Dar es salaam Ikulu, Jumamosi jioni


 Rais Jakaya Kikwete akiongea wakati wa hafla ya futari aliyowaandalia madiwani na wabunge wa Dar es salaam Jumamosi jioni Ikulu Dar es salaam
 Baadhi ya madiwani wa kata mbalimbali za jiji la Dar es salaam
 Madiwani wakiwa tayari kusalimiana na JK na kupokea zawadi
 Mama Salma Kikwete na wasaidizi wake wakijiandaa kutoa zawadi kwa kinamama
 Mama Salma Kikwete akitoa zawadi
 Kila mtu alipata zawadi
 Zawadi kwa kinamama
 Furaha ya zawadi toka kwa mama Kikwete
 Ankal naye aliambulia
 Zawadi kwa kinamama zinaendelea kutolewa

  Mama Salma Kikwete na baadhi ya wageni wake meza kuu ya kinamama
 Baadhi ya waandishi wakiwa katika hafla hiyo
 Kinamama katika hafla
 Madiwani toka kila kona ya jiji walikuwepo
 JK akiongea na wageni wake 
 Waheshimiwa mezani pao
 JK akimpa zawadi Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Bw. John Guninita
 JK akitoa zawadi kwa Mbunge wa Temeke mh. Abbas Mtemvu 
   JK akitoa zawadi kwa Mstahiki Meya wa jiji la Dar es salaam Dr. Didas Masaburi
 JK akimpa zawadi Mbunge wa Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile
 Zawadi kwa Mbunge wa Ilala Mussa Azzan Zungu
 Zawadi kwa mhariri wa Uhuru  Bw. Lucas Kisasa
 Zawadi kwa mh. Diwani 
Zawadi zaendelea kwa madiwani  
 Zawadi kwa kila mgeni
 JK akimpa zawadi Abdul Masamaki
 Zawadi kwa Bw. Riyami
 JK akimpatia zawadi Naibu Meya wa kinondoni Bw. Songoro Mnyonge
 Zawadi kwa Mbunge wa Ilala Iddi Azzan 
 Zawadi kwa diwani mkongwe
 JK akisalimiana na madiwani kinamama
 Asalaam aleikhum Mhishimiwa....
 ahsante kwa futari
 Tunashukuru Mhehsimiwa kwa kutukumbuka....
 Karibu tena mh.
 Mwandishi mwandamizi wa Uhuru, Bi Jacquiline Liana
 Zawadi kwa katibu wake Bw.
 Mpiga picha wa Daily News Robert Okanda  anapatiwa zawadi
 waalikwa wakipakua futari
 Wageni katika futari
 Furaha ya futari

 Baadhi ya wageni baada ya futari
 Meza ya wageni
 Wageni katika futari
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa, wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Ramadhan Madabida akivuta  kura ya shukrani kwa niaba ya waalikwa wote
Waalikwa wakisikiliza hotuba fupi ya shukurani 

No comments:

Post a Comment