Tuesday 27 July 2010

katibu mkuu wizara ya mambo ya nje atembelea ubalozi maputo

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Sazi Salula (kati mbele) akipozi na wafanyakazi wa Ubalozi wetu Msumbiji alikokwenda kuwasalimu wakati akihudhuria mmoja wa mikutano ya SADC inayoendelea jijini Maputo. Nakuletea baadhi ya picha nilizozipata. Hii ni mara ya kwanza kwa Katibu Mkuu kutembelea Ubalozi Maputo tangu aliposhika wadhifa huu. Wengine toka shoto ni Mhe.Balozi Ngaiza, Afisa Ubalizi Bw.Salula na Bw.Mwega.Waliosimama toka kushoto ni Col.Lwimbo,Bibi Eliza Majogo,Bw.

No comments:

Post a Comment