Tuesday 2 August 2011

Evans Bukuku live in action Sweet Eazy Jumanne Agosti 2. 2011

 Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment,Evans Bukuku akifanya vitu vyake usiku huu kwenye shoo yake iliyofanyika kwenye kiota cha Sweet Eazy.
Evans Bukuku akiendeleza libeneke usiku huu.
Mchekeshaji wa Vuvuzela Entertainment,Ray akiwavunja mbavu watu waliohudhulia shoo ya Evans Bukuku usiku huu kwenye kiota cha Sweet Eazy.
Ray akiendelea kuvunja watu mbavu usiku huu kwa vichekesho vyake.
Dogo Pepe wa Vuvuzela Entertainment akiwa mzigoni usiku huu kwa kuwavunja mbavu watu lukuki waliohudhulia kwenye shoo yao usiku huu.
Kila alihudhulia shoo hakutoka bila kucheka maana wakali wa Vuvuzela Entertainment chini ya mkali Evans Bukuku waliweza kuwavunja mbavu watu wote waliofika kwenye shoo hiyo.
Evans Bukuku katika moja ya vichekesho vyake na hapa alikuwa akiigiza utembeaji wa masharobaro wa kimarekani.

No comments:

Post a Comment