 | Mzee Majogo akitambulisha familia na maharusi |
 | Mzee Majogo na marafiki wakifurahia harusi |
 | Zawadi ya Mgolole wa Kimasai kwa Shemeji Dr Mkichael |
 | Mama Majogo na wanafamilia katika msosi |
 | Shemeji Dr Michael na Da' Emmy mnusoni |
 | Shemeji Dr Michael akimwaga kiduku |
 | Da'Emmy na Dr Michael |
 | Da'Emmy akimnyonga Dr. Michael |
 | Rais Mstaafu Mh. Benjamin William Mkapa awapongeza maharusi |
 | Ni wakati wa kuchukua chakula |
 | Da'Emmy akifurahi na mai hazbendi wake, Dr Michael |
 | Mzee Majogo akimtambulisha Meja Jenerali mstaafu Anatory Ruta Kamazima |
 | Mzee Majogo akiitambulisha familia yake |
 | Rais Mstaafu Mh. Benjamin William Mkapa atambulishwa |
 | Maharusi wapokewa kimila baada ya kuwasili Giraffe hotel |
 | Maharusi wakiwasili mnusoni Giraffe Beach |
 | Da'Emmy na Dr Michael baada ya kumeremeta kanisa la Katoliki la Boko Jumamosi |
 | 'I do.... " anasema Da' Emmy |
 | Mchungaji akiunganisha wawili wawe mwili mmoja |
 | Maharusi wa,kati wa kumeremeta kwao |
 | Maharusi wakikaribishwa kanisa Katoliki la Boko jijini Dar |
|
No comments:
Post a Comment