Friday, 13 May 2011

hepi besdei ya kuzaliwa Bw. Khamsin

Keki
Bw. Khamsin na keki yake na wageni
Ankal akipata keki huku mdau akishuhudia
Bw. Khamsin na wadau kwenye hafla
Bw. Khamsi akifurahia zawadi ya malapa toka kwa mbunifu
Bw. Khamsin na Asia-Idarous Khamsin na mwenyeji wao Gadna G. Habash
Keki ikatweee..
Bw. na Bi Khamsi na wadau
Ni furaha ilioje
Bw. Khamsin akitoa shukran kwa wadau

No comments:

Post a Comment