
Kamishna wa Bima Tanzania Bw. Israel Kamuzora akiongea na wafanyabiashara ya bima , ikiwa ni pamoja na mameneja na maofisa mwaandamizi wa makampun imbalimbali ya bima,mkoani Arusha ambapo alisisitiza umuhimu wa kufanyakazi kwa kufuata sheria,kanuni na taratibu zilizowekwa na nchi. Kamishna alisisitiza zaidi juu ya umuhimu wa kutoa huduma bora kwa wateja wa bima nchini.

Mkutano ukiendelea

Baadhi ya waliohudhuria

wana Bima wa Arusha

Wana Bima wa Arusha mkutanoni

Mkutano ukiendelea

Maofisa wa kanda

Wadau wa Bima

Mkutano

WafanyakaziwamamlakayaBimanchinikandayakaskazini kutoka kushoto ni Bw. Soud Sadique, Sigfrida Zacharia, Stella Rutaguza na DerickOwawa

Picha ya pamoja baada ya mkutano
No comments:
Post a Comment