Thursday 8 March 2012

Maadhimisho ya Siku wa Wanawake Duniani jijini Dar leo

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick akiyapokea maandamano ya Wanawake kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.Kushoto kwake ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Wanawake na Watoto,Mh. Sophia Simba pamoja na viongozi wengine wa jiji la Dar es salaam.
 Brass Band ya jeshi la Magereza ikiongoza maandamano hayo.
 Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mh. Sophia Simba (mbele mwenye kofia) akiongoza maandano ya Wanawake kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani huku akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Rais IKULU.
 Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais - IKULU.
 Brass Band ya Magereza.
 Uhamiaji.
 Uhuru.
 Bima ya Afya.
 TBC
 NSSF. 
 TSN.
 Ustawi wa Jamii.
 Benki Kuu.

No comments:

Post a Comment