Sunday, 27 February 2011

Kili Marathon & Vodacom's 5km FUN RUN 2011

Ni saa 12 asubuhi, wakimbiaji kibao wako tayari kushindana
Vilele vya Kilimanjaro vikikonyeza kwa mbaaaali....
Kaa tayari...
Hamna mchezo hapa....
Mkuu wa Wilaya ya Moshi na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Alhaj Mussa Samizi akilianzisha
Haya twendeeeee...
Wakimbiaji zaidi ya 2000 walijitokeza
.Mbio zinaanza
Haya jiandaeni sasa...
Mama na wana...
Pikipiki
Wanaume... eeeeh!
Maji maji....
Jamani eeehh... si nimekwambia ntakulipa nikimaliza hii marasoni???
Mbio mbio mbio...
Tanzania oye!
Simu ya mkononi haikosekani hapa
Vijana wakimpa taffu mnkimbiaji
Washiriki wakiwa mbioni
Ulinzi wa uhakika ulikuwepo
Mratibu mkuu wa michuano hii Aggrey Marealle
wa Executive Solutions akiwa kazini


Mshindi wa pili wa wanawake Banuelia Brighton akimaliza mbio
Mshindi wa kwanza wa wanawake wa Kili
Marathon 2011 Anna Kamau toka Kenya

Mshindi wa pili kwa wanaume Julius Kilimo wa Tanzania akimaliza mbio
Umati katika uwanja wa chuo cha ushirika
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi akimpogenza bingwa wa wanawake wa Kili Marathon 2011 Anna Kamau toka Kenya
Dkt. Nchimbi akiwavisha medali washindi
Dkt. Emmanuel Nchimbi akimvisha medali
mshindi wa pili wa wanawake Banuelia Brighton

No comments:

Post a Comment