Saturday, 19 February 2011

waziri mkuu atembelea gongo la mboto

Waziri Mkuu, Mizengo PInda akimpa pole Bw. Abbas Issa wakati alipowatembelea majeruhi wa milipuko ya mabomu iliyotokea kwenye kambi ya JWTZ ya Gongolamboto jijini Dar es salaam Februari 19, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Mkuu wa Majeshi nchini, Davis Mwamunyange wakati alipowasili kwenye kambi ya JWTZ ya Gongolamboto jijini Dar es salaam kukagua athari za milipuko ya mabomu , Februari 19, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo PInda akipata maelezo kutoka kwa Kamanda wa Kikosi cha JWTZ cha Gongolamboto Kanali D. A. Mwanjile (katikati) kuhusu milipuko ya mabomu iliyotokea kwenye kambi WTZ ya Gongolamboto wakati alipotekmbelea kambi hiyo, Februari 19, 2011. Kulia ni Mkuu wa Majeshi nchini, Davis Mwamunyange(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment