Sunday, 27 February 2011

Kili Marathon & Vodacom's 5km FUN RUN 2011 bomba!

Yallaaaaaaah weee...
Wadau toka KCMC walikuwepo kutoa huduma ya kwanza
Kazi haikuwa rahisi kama inavyoonekana
Mdau akipelekwa kupatiwa huduma ya kwanza
Mkimbiaji akihudumiwa
Canon EOS 5D, kama ya Ankal, ikitumika vilivyo katika kupiga video
Nyomi ilikuwa si ya kawaida...
Wanaume TMK walikuwepo kutesa kama kawaida yao.
Hapo ni lile songi la Mambo Bado

James Payne a.k.a Mzungu wa BSS, ambaye ni mshindi wa pili wa Bongo Star Search amekuwa kivutio kikubwa hapa Moshi ambapo kila aendako anazongwa na mashabiki. Alipopanda jukwaani kutumbuiza kila mtu alifurahi.
Mkurugenzi wa masoko wa TBl David Minja (kuume) George Kavishe, meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Premium Lager, wadhamini wakuu wa Kili International Marathon wana kila sababu ya kuwa na furaha kwani hafla hii imefana si mchezo
Wazee wa Moshi na Arusha hawakukosekana katika marathon hii
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi (wa pili shoto) akiwa meza kuu
Bosi mkuu wa TBL baada ya kumaliza mbio
Wadau wa Vodacom makao makuu
wakiangalia mambo yanakaa sawa

Wadau wa Precision air wakipozi baada ya kukimbia
Mmoja wa mabozi wa TBL akipongezwa baada ya kumaliza mbio za kilomita 5
Mdau anaomba maji kupoza rejeta...
Wadau wa Citi bank wakipumzika baada ya
kazi ngumu ya kufukuza upepo

Moshi oye!
Hapa rejeta zinapumzishwa baada ya Vodacom 5km Fun run
Wadau wa Tanga Cement ndani ya nyumba
Ankal na wadau wa Moshi leo
Wadau wakijidai leo Moshi kwenye Kili Marathon
Wadau wa Moshi kama kawa...
Wadau wakila pozi baada ya marathon

No comments:

Post a Comment