Monday, 14 February 2011

UZINDUZI WA HEMAJO ENTERTAINMENT WAFANA SANA

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Hemajo Entertainment,Edith Subeti akizungumza usiku wa kuamki leo wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo na uzinduzi wa saba saba tatu ya Clouds Fm ndani ya ukumbi wa Nyumbani Hotel,jijini Mwanza.
Meneja wa vipindi wa Radio Clouds Fm,Sebastian Maganga akizungumza katika uzinduzi huo ndanyi ya ukumbi wa Nyumbani Hotel,jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hemajo Entertanment,Edith Subeti akitambulisha timu nzima ya wana Leo Tena wa Clouds Fm.kulia ni Meneja Vipindi wa Clouds Fm,Sebastian Maganga,akifuatiwa na Gea Habib (tatu kulia),Dina Marious (tatu shoto),Zamaradi Mketema (pili shoto) pamoja na PG Kweka.
Msanii wa kizazi kipya,Elias Barnabas (Barnaba) akikamua usiku wa kuamkia leo wakati wa uzinduzi wa Kampuni mpya ya Hemajo Entertainment uliofanyika ndani ya Ukumbi wa Hotel ya Nyumbani,jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Barnaba na mwanadada aliepanda stejini akimuigiza Linah katika wimbo wa wrong number.
shoo imekolea.
Sajna ambaye ni msanii wa kizazi kipya akiwaburudisha mashabiki walifurika ndani ya Nyumbani Hotel,Jijini Mwanza usiku wa kumkia leo.
Msanii Amini Mwinyimkuu akilalamika katika moja ya nyimbo zake alizozipiga usiku wa kuamkia leo ndani ya Hotel ya Nyumbani Jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Amini akikamua kisawasawa katika uzinduzi huo.

Msanii wa Maigizo wa jijini Mwanza anafahamika kwa jina la Mchungaji akiwaburudisha wadau waliohudhuria katika uzinduzi huo.
kikundi cha kucheza kutoka jijini Mwanza kikifanya mambo yake.











No comments:

Post a Comment