| Soko la mwanjelwa linavyoteketea kwa moto eneo la sido jijini mbeya,chanzo cha moto huo mpaka sasa hakijajulikana |
| Moto mkubwa ukiendelea kuwaka |
| Baadhi ya mabanda sokoni hapo tayari yameteketea kabisa na moto |
| Kufa kufaana....... kibaka tayari ameshaiba na huyooo anatimka zake. |
| Dada nae hayuko nyuma katika la kujisevia bidhaa sokoni hapo, keshachukua kapeti na kutokomea nalo. |
| Umati wa watu ukiwa unaangalia soko linavyoteketea |
| Mama huyu akilia kwa uchungu akiangalia duka lake likiteketea kwa moto |

















No comments:
Post a Comment