Mwenyekiti wa Marketing Society of Tanzania Rosemary Mwakitwange akifafanua jambo katika wa mkutano wa wa Mawasiliano wa masoko (Tanzania Marketing Communication Confrence (TMCC) uliowashirikisha wataalam wa masoko wa makampuni mbalimbali ikiwa na lengo la kuwakutanisha pamoja ili kubadilishana uzoefu wao kushoto ni Mshauri wa maswala ya masoko wa kampuni ya Constomer Passion Point Ltd Ikechuku Kalu |
No comments:
Post a Comment