Tuesday 8 February 2011

wanafunzi wa vyuo iringa nao wagomea masomo, waandamana kudai nyongeza ya posho


Wanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa (MUCE) na Tumaini Iringa leo wamegoma kuendelea na masomo wakitaka kuongezewa mshiko toka shilingi 5000-10000Wanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa (MUCE) na Tumaini Iringa leo wamegoma kuendelea na masomo wakitaka kuongezewa mshiko toka shilingi 5000-10000Wanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa (MUCE) na Tumaini Iringa leo wamegoma kuendelea na masomo wakitaka kuongezewa mshiko toka shilingi 5000-10000

Baadhi ya wanafunzi hao wakiwa wametoka madarasani

Wanafunzi hao wakiandamana.
Picha na mdau Francis Godwin



No comments:

Post a Comment