Saturday, 19 March 2011

Lethina Christopher ndie miss kisura 2011

Miss Kisura 2011/12,Lethina Christopher (kati) akiwa na mshindi wa pili wa shindano hilo,Neema Killango pamoja na mshindi wa tatu,Flaviana Makungwa mara baada ya kutangazwa kwa mshindi wa Kisura iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya Kilimanjaro Kempiski,jijini Dar.
Top six.
Washiriki wote wa Kisura Tanzania wakipita Jukwaani.
Majaji wakiumiza vichwa kutaja mshindi.
Mwanamuziki Shaa akifanya vitu vyakee.
Wadau wa TBL pia walikuwepo.
Washiriki wa Miss Utalii pia walikuwepo.
Sehemu ya wageni waalikwa waliofika ndani ya Hotel ya Kilimanjaro Kempiski kushuhudia kupatikana kwa mshindi wa Kisura Tanzania.

No comments:

Post a Comment