Saturday, 19 March 2011

mpambano wa sikinde na msondo moto chini

Mlimani Park Band wana Sikinde wakiwa jukwani usiku wa kuamkia leo katika mpambano wao na watani wa Jadi Msondo Ngoma katika onesho maalumu lisilokuwa la mashindano
Hassan Rehani Bitchuka akiongoza fowadi ya Sikinde huku akizongwa na mashabiki alipokuwa akiimba kibao chake 'Hiba'
Midomo ya bata ya Msondo Ngoma
Magoma kitakita
Hassam TX Moshi William (shoto) na
Shaaban Dede wakiimba pamoja

Majaliwa, anayeitwa mrithi wa TX Moshi
William akighani na Shaaban Dede

Shaaban Dede akituzwa mashabiki wa Msondo
"....Fatuumaaaaaaaaaaaa..... Nasafiri mamaaaaaaaaaaaaaa.....
Baki salamaaaaaaaaaaaa oooooooo oooooooo ooooooooooooooooo
Muhidin Maalim Gurumo akimtambulisha Shaaban Dede ambaye naye kasema kurudi kwake Msondo ni sawa na kwenda kwa Babu Loliondo
Ankal akiwa na Samba Mapangala na meneja wake
Muhidin Maalim Gurumo na mai waifu wake
wakiangalia mpambano

No comments:

Post a Comment