Thursday 17 March 2011

Askari polisi wahitimu mafunzo chuoni Moshi

Mgeni rasmi katika sherehe ya kuhitimu mafunzo ya askari polisi,Waziri wa mambo ya ndani Mh. Shamsi Vuai akiongozwa na mkuu wa chuo cha polisi Moshi Comandant Matanga Mbushi kuelekea uwanja wa Parade.

Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Shamsi Vuai Nahodha akiwa meza kuu na Inspekta Jenerali wa Polisi Afande Saidi Mwema wakati wa hafla hii
Wahitimu wa FFU
Maonesho ya tizi la kijeshi
Sehemu ya maonesho ikionesha nyumba imepata na mlipuko huku askari polisi wakifanya jitihada za kuzima moto uliowaka katika nyumba hiyo.
Gari la kunyunyiza maji ya kuwasha likiwakimbiza watu waliokuwa wakiandamana,ilikuwa ni moja ya maonesho yaliyofanyika katika chuo cha polisi mjini Moshi wakati wa sherehe za kuhitimu kwa askari polisi.
Mkuu wa Operesheni wa Polisi afande Paul Chagonja na maafande wengine
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai
Afande Rober Manumba na maafande wengine
Mpiganaji SACP Jamal Rwambo (suti nyeupe)
ambaye yuko makao makuu sasa alikuwepo pia

Kwaya ya polisi ikitumbuiza
Wananchi kibao walijitokeza kuona vijana wao wakifuzu mafunzo
Vitendea kazi

Picha zote na Dixon Busagaga

No comments:

Post a Comment