Thursday 8 September 2011

USIKU WA MAADHIMISHO YA MIAKA 189 YA UHURU WA BRAZIL

 Vicheko na furaha vilitawala.
 Wageni wakijichanganya
 Kina mama wakibadilishana mawazo katika hafla hiyo.
 Mwenyekiti wa mfuko wa Mwl. Nyerere Foundation Bw. Joseph  Butiku (katikati) akibadilishana mawazo na Mama Muzu (shoto) na mgeni mwingine katika hafla hiyo.
 Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania Bw. Alberic Kacou akizumgumza mawili matatu na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya maadhimisho ya miaka 189 ya Uhuru wa Brazil yaliyofanyika usiku wa kuamkia leo nyumbani kwa balozi wa Brazil nchini.

 Viburudisho na maongezi
 Bwana na Bibi Alfonso E. Lenhardt Balozi wa Marekani nchini.
 Mke wa Balozi wa Brazil Mama Luz (Kulia) akibadilishana mawazo na mmoja wa wageni waalikwa nyumbani kwake Oysterbay wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka 189 ya Uhuru wa nchi hiyo.

 Vitafunwa 
 Wageni wakiongea
 Balozi akiongea na wageni wake
 Shose Sinare na mwenzie wakiongea
 Ulifika wakati wa kupiga picha za pamoja na kusalimiana kati ya maafisa Ubalozi na wageni mbalimbali.
 Wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini risala ya Mhe. Balozi wa Brazil Francisco Luz 
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini risala ya Mhe. Balozi wa Brazil Francisco Luz wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 189 ya Uhuru wa Brazil iliyofanyika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Picha na Zainul Mzige

No comments:

Post a Comment