Tuesday 8 March 2011

TWAA YATOA TUZO KWA WANAWAKE NCHINI

Mwenyekiti wa TWAA (Tanzania Women Of Achievement Awards),Mama Sadaka Gandhi akizungumza usiku huu katika hafla ya Tuzo mbali mbali kwa wanawake wenye taaluma mbali mbali zilizotolewa katika ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar.
Mwanzilishi wa Mtandao unajihusisha na utoaji tuzo kwa Wanawake wenye Taaluma mbali mbali hapa nchini (TWAA),Irene Kiwia akizungumza katika hafla hiyo usiku huu katika ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar ikiwa ni siku ya maadhimisho ya miaka 100 ya mwanamke duniani.
Mkurugenzi wa Masoko wa SBL,Caroline Ndungu akimtabidhi tuzo ya TAALUMA (Professional)Mkurugenzi wa Vodacom Foundation,Mwamvita Makamba.Meneja Masoko wa Home Shopping Center,Bi. Fatma (kulia) akimkabidhi cheti cha ushindi pamoja na tuzo,Bi. Khadija Mwanamboka alieshinda tuzo ya Social Welfare.
Mshindi wa taaluma ya Science & Technology akiwa na mfano wa Hundi iliyotolewa na Shirika la Songas.
Mkurugenzi wa TAMWA,Ananilea Nkya (kulia) akikabidhiwa Tuzo yake pamoja na cheti baada ya kushinda tuzo ya Habari na Mawasiliano (Information and Communication).

Bw. David Nchimbi wa Deloitte akimkabidhi tuzo ya Maswala ya Afya (Health),Dr. Marina Njelehela.
Meneja Mahusiano wa Multichoice Tanzania,Barbara Kambogi akimkabidhi tuzo Bi. Oliver Damian alieshinda tuzo ya Sanaa na Utamaduni (Arts and Culture).
Tuzo zikimeremeta mezani kabla ya kuanza kugaiwa.
Red Capet ilikuwepo pia.
Burudani.

Watu wengi walijitokeza kuhudhulia hafla hiyo iliyomalizika usiku huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.

No comments:

Post a Comment