Wednesday 1 February 2012

Hafla ya Chakula cha Jioni kwa wadau wa NSSF yafana sana

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka na Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF,Ndg. Aboubakar Rajab wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa kwa ajili ya Wadau wa NSSF kwenye hoteli ya Mount Meru,jijini Arusha jana usiku.
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa wakati wa hafla ya chakula cha jioni kwa wadau wa NSSF iliyofanyika kwenye bustani ya hoteli ya Mount Meru,Jijini Arusha jana usiku.

No comments:

Post a Comment