Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akizungumza wakati wa mkutano wa pili wa wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF),Crescentius Magori akitoa mada mbali mbali za kikao cha kwanza cha Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Omari Ayoub Juma akiongoza mkutano huo ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Omari Ayoub Juma (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa mkutano huo ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.Wengine pichani ni kutoka kulia ni Waziri wa Kazi,Mh. Gaudencia Kabaka,Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF,Aboubakar Rajab na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,Dkt. Ramadhan Dau.
Mkurugenzi wa Uwezeshaji,Mipango na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF),Yakoub Kidula akitoa mada ya Namna Shirika la NSSF linavyowekeza sehemu mbali mbali wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Muwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma,Julius Lugemarila akizungumzia mafanikio ya Chuo chake hicho kilichojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF) wakati wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Muwakilishi wa Kagera Suger akizungumza wakati wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Mbunge wa Mwibara,Mh. Kangi Alphaxad Ndege Lugola akichangia mada kwenye Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano huo wakichangia mada kwa wakati tofauti.

Wajumbe wa Bodi ya NSSF
Wakurugenzi wa Mashirika ya Hifadhi za jamii nchini.
Waheshimiwa Wabunge pia wapo kwenye mkutano huu.
Sehemu wa Wadau wa Mkutano wa pili wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii wakifuatilia mada mbali mbali zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano huo unaoendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mh. Zitto Kabwe akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bodi ya NSSF,Mh. Mudhihir Mudhihir katika mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau (alieshika gazeti) akionyesha moja ya habari zinazohusu shirika hilo iliyoandikwa kwenye gazeti hilo.wanaoangalia kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF,Aboubakar Rajab,Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Huduma kwa Wateja wa NSSF,Eunice Chiume na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi za Jamii Tanzania (SSRA),Siraju Juma Kaboyonga.
No comments:
Post a Comment