Thursday 2 February 2012

NSSF yatoa tuzo mbali mbali kwa Wadau wake Waliofanikiwa kufuata taratibu za shirika hilo

Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kushoto) akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii,Dkt. Ramadhan Dau mara baada ya Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka (wa tatu kulia) kumkabidhi zawadi ya picha wakati wa hafla ya utoaji tuzo mbali mbali kwa Wadau wa NSSF waliofanikiwa kufuata taratibu za Shirika hilo kwa kipindi cha mwaka 2011.Wengine ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga na Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF,Aboubakar Rajab.Shughuli hii imefanyika mchana wa leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi (wa tatu Kulia),akikabidhi tuzo kwa Muwakilishi wa Bulyanhulu Gold Mine,Joel Uswege (wa pili kushoto) ikiwa ni kampuni inayoongoza kwa kutoa michango ambayo inatoa mpaka Bilioni 1 kwa mwezi,wakati wa hafla ya utoaji tuzo mbali mbali kwa Wadau wa NSSF waliofanya vizuri kwa kipindi cha mwaka 2011,iliyofanyika mchana wa leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi (wa tatu Kulia),akikabidhi tuzo kwa Muwakilishi wa Geita Gold Mine,Philemon Tano (kushoto) wakati wa hafla ya utoaji tuzo mbali mbali kwa Wadau wa NSSF waliofanya vizuri kwa kipindi cha mwaka 2011,iliyofanyika mchana wa leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi (wa tatu Kulia),akikabidhi tuzo kwa Muwakilishi wa Kilombero Suger LTD,Bw. Mwangosi (kushoto) wakati wa hafla ya utoaji tuzo mbali mbali kwa Wadau wa NSSF waliofanya vizuri kwa kipindi cha mwaka 2011,iliyofanyika mchana wa leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi (wa tatu Kulia),akikabidhi tuzo kwa Mama Elizabeth Kamulindwa (kushoto) ambaye ni Mwanachama wa Hiari wa NSSF wakati wa hafla ya utoaji tuzo mbali mbali kwa Wadau wa NSSF waliofanya vizuri kwa kipindi cha mwaka 2011,iliyofanyika mchana wa leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF unaoendelea kufanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha leo.
Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akitoa utambulizo wa viongozi mbali mbali walihudhuria Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF uliofunguliwa rasmi leo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF,Ndg. Aboubakar Rajab akizungumza machache na Wadau wa NSSF wanaohudhulia Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha leo.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,Dkt. Ramadhan Dau akitoa mada ya namna Shirika linavyofanya kazi zake baada ya Miaka 50 ya uhuru wakati wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF unaoendelea kufanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha leo.
Mwenyekiti wa Wakuu wa Mashirika ya Hifadhi za Jamii,Daudi Msangi akizungumza machache wakati wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF unaoendelea kufanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha leo.
Muwakilishi wa Mashirika ya Hifadhi za Jamii kwa nchi za Afika ya Mashariki,Bi. Magreth Osure akizungumza machache kwa niaba ya mashirika hayo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akiteta jambo na Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe.
Makamu wa Pili wa Rais akiingia ukumbini huku akisindikizwa na Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka.
Mkutano Ukiendelea kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo.
Sehemu ya Wadau wa NSSF wanaohudhulia mkutano huo wakifuatilia kwa makini Mada mbali mbali zilizokuwa zikitolewa leo.
Picha ya Pamoja wa Viongozi Mbali Mbali.
Wadau wa Bulyanhulu Gold Mine 
Wadau wa NSSF.

No comments:

Post a Comment