Tuesday 21 June 2011

MAMA SALMA KIKWETE AKARIBISHWA KWENYE hafla NA MKE WA WAZIRI MKUU wa MALAYSIA

 Baadhi ya wageni katika  hafla ya chai ya jioni na mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia   Datin Paduka Seri Rosmah Mansor  nyumbani kwake Putrajaya, Malaysia.
  Mama Salma Kikwete akiongea katika hafla ya chai ya jioni iliyoandaliwa na Mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia  Datin Paduka Seri Rosmah Mansor maaulum kwa wake wa viongozi nyumbani kwake Putrajaya Malaysia
 Mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia Mama Datin Paduka Seri Rosmah Mansor  (kulia) wakizungumza na Mke wa  Waziri Mkuu wa Lesotho Mama Mathato Mosisili  (kushoto)      katika  hafla hiyo
 Mama Salma Kikwete pia Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA (kushoto) wakibadilishana  mawazo Juni 22,2011 na mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho  Mama  Mathato  Mosisili (nguo ya mistari)      pamoja  na mwenyeji wao Mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia  Datin Paduka Seri Rosmah Mansor (kulia) nyumbani kwake Putrajaya Malaysia
  Wakikaribishwa katika hafla ya chai ya jioni na mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia   Datin Paduka Seri Rosmah Mansor (kulia)  nyumbani kwake Putrajaya Malaysia.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto)  pamoja na mkewa Waziri Mkuu wa   Lesotho    Mama   Mathato Mosisili (nguo ya mistari)  wakibadilishana mawazo katika hafla ya chakula cha usiku kilichaandaliwa na Mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia  Datin Paduka Seri Rosmah Mansor 
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto ) akiongea na baadhi ya wake wa viongozi wa kitaifa kutoka nchi  za Afrika wakati walipokaribishwa kwenye hafla ya chai ya jioni na mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia   Datin Paduka Seri Rosmah Mansor (kulia)  nyumbani kwake Putrajaya Malaysia. (.Pichani akifuatiwa kutoka   kulia) ni   Mke wa Makamu wa Rais wa Kenya Mama Pailine Kalonzo (nguo ya Blue) pamoja na mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho Mama Mathato  Mosisili (mwenye nguo ya mistari)

Toka kushoto Mke wa Makamu wa Rais wa Kenya Mama Pauline Kalonzo, Mke wa Rais wa Tanzania Mama Salma Kikwete,  Mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia Mama Datin Paduka Seri Rosmah Mansor pamoja na Mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho Mama Mathato Mosisili, (Picha zote  na Mwankombo Jumaa-MAELEZO),

No comments:

Post a Comment