Sunday 26 June 2011

Usiku wa Kanga za Kale ukumbi wa Salender Bridge Club jijini Dar

 Asia Idarous-Khamsin akiwa na baadhi ya wadau kibao walioshuhudia onesho la mavazi la Kanga za Kale na Fabak Fashions ukumbi wa Salender Bridge usiku wa kuamkia leo
 Babu Njenje na Waziri Ally wamependeza na shati zao za Kanga za Kale
 Asia Idarous-Khamsin akihojiwa juu ya onesho hilo 
 Wana Njenje wakiwa wamejipuna Kanga za Kale
 Asia Idarous Khamsin akiwashukuru Njenje kwa kufanya naye onesho hilo kwenye kiota chao
 Waziri Ally akimpongeza Asia kwa ubunifu
 Asia na mamodo wake
 Asia akitambulishwa mbele ya kadamnasi
 Mamodo wakila pozi baada ya onesho
 Modo akitoka na vazi la Kanga za kale
Supa modo wa kiume Martin Kadinda akiwa kazini
 Supa modo wa kiume akionesha Kanga za kale
 Kanga za kale
 Shati la kitanashati la Kanga za Kale

 Kila aina ya mitindo ilioneshwa
Dida akidhihirisha kuwa yeye si mtrangazaji tu bali hata umodo wamo

No comments:

Post a Comment