Saturday 25 June 2011

DAR FASHION FESTIVAL YAFANA SANA

 Bango Kuu.
 Wafanya Biashara wengi wamejitokeza kuonyesha biashara zao katika Tamasha hilo.
 Mambo ya Urembo.
 Mchoraji wa Picha mbalimbali wa Jamaa Art Gallery,Shama Jaffer akipanga vitu vyake.
 Mkurugenzi wa Jamaa Art Gallery,Lorna Mashiba akiwa katika banda lake.
 Wadau wa Konyagi pia walikuwepo.
 Ni Furaha kwa kila aliefika katika Maonyesho hayo.
 Wakali wa Make Up toka nchini Kenya,Lorna Muthoni (shoto) na Muthoni Njoba wakiwakilisha ndani hya Tamasha la Dar Fashion Festival.
 Viatu vya Kina Dada.


 Banda la CRDB nalo lipo katika Tamasha hilo.

 Viburudisho kama kawa.

 Watoto pia hawakuwekwa nyuma katika Tamasha hilo.






Ankal akiwa na Wadau,kulia ni Victor (Kinje) na Kati ni Gardna G Habash.

No comments:

Post a Comment