Sunday, 19 June 2011

Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi azindua changamoto ya miaka 10 kupanda mlima Kilimanjaro kuchangisha fedha kwa ajili ya waathirika wa ugonjwa wa Ukimwi

 Mzee Mwinyi akiongoza mchakamchaka kupanda mlima Kilimanjaro katika changamoto ya miaka 10 ya kupanda mlima huo inayoandaliwa na Geita Gold Mining company
 Kutelemka kwahitaji uangalifu kiasi
 Mzee Mwinyi akitelemka
 Mmoja wa viongozi wa kampuni ya Geita gold mining akisalimiana na Mzee Mwinyi wakati wa uzinduzi wa changamoto ya kupanda mlima kilimnajaro kuchangia waathirika

 Mzee Mwinyi akiwa na mmoja wa viongozi wa Geita Gold na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Dk Sigela
 Wasaidizi wa wapanda mlima
 Mzee Mwinyi yuko fiti kama kawa
 Mama Khadija Mwinyi akiendelea na safari ya kupanda mlima
 Safari ya kupanda iliendelea.
 Mzee Mwinyi akiwa ameambatana na mkewe mama Khadija Mwinyi pamoja na kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Meja Jenerali Said Kalembo na mkuu mkuu wa wilaya ya Hai Dk Norman Sigela.
 Mzee Mwinyi akisalimiana na mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Zara tours.
 Wageni mbalimbali
 Rais mstaaafu wa awamu ya pili alhaji Ally Hassan Mwinyi katika uzinduzi wa changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kuchangisha fedha kwa ajili ya waathirika wa Ukimwi.
Mmoja wa viongozi wa kampuni ya Geita gold mining akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi wa changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kuchangia waathirika wa Ukimwi, Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi

No comments:

Post a Comment