Saturday, 18 June 2011

SEMINA YA CHANGAMOTO NA NAFASI KATIKA BIASHARA YA MAFUTA YA MAWESE DUNIANI

 Afisa Mkuu Mtendaji Msaidizi wa Kampuni ya MPOC Dkt. Kalyana Sundram akiwasilisha mada ya kwanza juu ya kuimarisha bidhaa za vyakula kwa bara la Afrika katika semina iliyofanyika kwenye Hotel ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar.
 Mkuu wa Idara ya Utafiti na Maendeleo aishie nchini Afrika Kusini Dkt. Aubrey Parsons ambaye aliwasilisha mada ya pili juu ya nafasi mbali mbali za mazao ya Mawese kwa bara la Afrika.
 Afisa Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya East Coasts Oils and Fats Kampuni Tanzu ya MeTL  Bw. Vijay Raghavan akitoa Shukrani kwa watoa mada kwa washiriki waliohudhuria semina hiyo iliyoandaliwa kwa ushirikiano kati ya MeTL na Ubalozi wa Malaysia nchini Tanzania
 Watoa Mada wa Semina Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Utafiti na Maendeleo aishie nchini Afrika Kusini Dkt. Aubrey Parsons,  Afisa Mkuu Mtendaji Msaidizi wa MPOC Dkt. Kalyana Sundram na  Mkurugenzi wa Masoko wa MPOC Bw. Faudzy Asrafudeen wakizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa semina hiyo.
 Afisa Mkuu Mtendaji Msaidizi wa MPOC Dkt. Kalyana Sundram akibadilishana mawazo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mjini Mh.Mohammed Dewji mara baada ya semina kumalizika.
 Baadhi ya Wadau kutoka Sekta mbalimbali wakifuatilia semina hiyo.
 Miongoni mwa Wadau waliokuwemo katika Semina ya MPOC iliyokuwa ikizungumzia biashara ya Masoko na nafasi mbalimbali kwenye Mafuta ya Mawese Bara la Amerika na Afrika.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Kiwanda cha ECOF waliokuwa wakifuatilia semina hiyo.
 Bidhaa zinazotokana na Mafuta ya Mawese zikiwa zimetandazwa kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar.
Wawakilishi wa Taasisi za Kigeni nao wakifuatilia semina hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar.

Kwa ufafanuzi na habari zaidi kuhusiana na Baraza la Uuzaji na Uzalishaji wa Mafuta ya Mawese nchini Malaysia (MPOC) Bonyeza hapa http://www.mpoc.org.my/ or  http://www.mpoc.org.za/

No comments:

Post a Comment