Friday 17 June 2011

ROSE MSUYA AWA VODACOM MISS DAR INTER COLLEGE 2011

Miss Dar Inter College 2011,Rose Msuya akiwa katika pozz mara baara ya kunyakua taji hilo usiku huu katika ukumbi wa Sun Cirro,Sinza jijini Dar.
 Miss Dar Inter College,Rose Msuya akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Pili,Bressiny Ngowi (shoto) na Mshindi wa watatu,Glory Peter.
 Afisa Huduma na Bidhaa wa Vodacom Tanzania,Elihuruma Ngowi akikabidhi zawadi kwa Miss Vodacom Dar Inter College 2011,Rose Msuya kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) usiku huu katika ukumbi wa Sun Cirro,Sinza jijini Dar.
 Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania,Albert Makoye akikabidhi zawadi kwa Mshindi wa Nne,Elizabeth Aloyce.
 Tano Bora.
 Washiriki wote jukwaani.
 Majaji wakifatilia kwa makini mashindano hayo. 


Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva,Dully Sykes akifanya mambo yake usiku huu.
 Warembo wakiangusha shoo matata ndani ya ukumbi wa Sun Cirro usiku huu.
  Warembo wa Dar Inter College waliomaliza muda wao pia walikuwa bega kwa bega na kamati nzima ya maandalizi ya mashindano hayo usiku huu ndani ya club Sun Cirro,Sinza jijini Dar.
 MC wa Shughuli Bob Rich huwa hakosagi cha kufanya awapo stejini na hapa alikuwa akiyarudi magomna kwa namna yake.
 Jaji Mkuu wa Mashindano hayo,Aidan Rocco akitangaza washindi.
 Watazamaji nao walikuwa wako makini ili kumchagua yule wamtakao.
 Wakubwa,toka kulia ni Mkuu wa Itifaki wa Kamti ya Miss Tanzania,Albert Makoye,Mkurugenzi Mkuu wa Miss Tanzania,Hashim Lundenga pamoja na Hassan Hasanoo wa Friends of Simba wakibadilishana mawazo usiku huu ndani ya ukumbi wa Club Sun Cirro,Sinza jijini Dar.
 Wadau.
 Waratibu wakifatilia mashindano.
Watu wengi walifika katika ukumbi wa Club Sun Cirro ili kujionea mashindano ya Vodacom Miss Dar Inter College 2011 usiku huu.

No comments:

Post a Comment