Thursday 16 June 2011

Mnuso wa hepi besdei ya kuzaliwa lady jay dee






 Mama wa mitindo Asia Idarous-Khamsin akiwa na masataa wa filamu Bongo kwenye mnuso wa hepi besdei ya kuzaliwa Lady Jay Dee usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam
 Asia na mastaa wa filamu
 Marafiki wa Lady Jay Dee
 Marafiki kibao wa Lady Jay Dee katika mnuso huo
 Asia akiwa na kikosi kazi ya Mohamed Dewji Blog
 Lady Jay Dee akiwa na wadau
 Lady Jay Dee akijirusha na marafiki zake
 Sebene la nguvu
 Mtangazaji wa Clouds FM Dina Marios (shoto) akiwa na Mama Hasheem
 Mama Hasheem, Asia na wadau
 TID na mdau wakiwa Nyumbani
 Lady Jay Dee na mai hazbendi wake Gadna, TID na mdau
 Ankal na Asia na mzaliwa 
 Lady Jay Dee na mastaa wa filamu
 Lady Jay Dee na mastaa wa muziki wa kizazi kipya
 Zainul Mzige wa Mo Blog akifungua dansi na Lady Jay Dee
 Kulishana keki kama huwa
 Kata keki tuleeeee...
 Lady Jay Dee akimlisha keki rafikiye wa karibu
 Keki kwa Shaa
 Mdau mkuu wa nyumbani Lounge ndiye wa kwanza kulishwa keki
 Mapaparazi kibao
 Keki ikikatwa
 Jide na mastaa wa muziki
 Jide na Asia
 Jide na marafiki wake wa karibu
 Gadna akila pozi na wadau wa Nyumbani
Ankal na wadau wa Washington DC

No comments:

Post a Comment