Saturday 5 March 2011

Martin JP & Angela wanameremeta

Martin na Angela
Wadau wakifurahia
Sunday Shomari na Dokii
Ankal na Sunday Shomary na maharusi
Ma-MC wa siku Sunday Shomari na MC Chumvi Chumvi ndani ya nyumba
Hongera kwa maharusi toka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Sethi Kamuhanda
Mkurugenzi Mkuu wa PPF William Erio akitoa baraka zake
Keki ikipelekwa kwa wazaa chema
JP na Sunday Shomary wakishangilia vijana wa Acapella
Hongera toka kwa mdau
Hongera JP
Mnuso ulikuwa wa nguvu si kidogo
Vijana wa Acapella
Mdau katika Red carpet ya JP
Miraji akicheza na bi harusi

Mdau Frank akitoa pongezi
Mdau Kim na mai waifu wake katika red carpet
DJ Bonny Luv ndani ya nyumba

No comments:

Post a Comment