Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda na maofisa waandamizi wa Bunge katika picha ya pamoja baada ya kufungua semina ya siku mbili kwa waandishi wa habari toka vyombo mbalimbali hoteli ya Millenium mjini Bagamoyo.
Mh. Makinda akisogea kupiga picha
na wanasemina wanawake
Ankal na Mh. Spika
Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania Kajubi Mukajanga (shoto), Jenerali Ulimwengu (kati) na Mhariri wa gazeti la Mwanahalisi Saeed Kubenea wakijadili jambo.
Spika wa Bunge Mh. Anne Makinda akijibu maswali toka kwa waandishi wakati wa semina ya siku mbili iliyoandaliwa na Bunge katika hoteli ya Millenium mjini Bagamoyo leo

Waandishi waandamizi wakiwa katika semina hiyo

Waandishi wakisikiliza mada

Maofisa wa habari toka Maelezo

Umakini

Semina ikiendelea

Wakiwa makini

Paparazi...


Mkurugenzi wa Mawasiliano akitambulisha waliohudhuria

Maafisa wa Bunge wakijitambulisha

Wadau wakisubiri 'na menginey..."

Ukumbi umejaa

Mhariri Mtendaji wa gazeti la MwanaHAlisi Bw. Saeed Kubenea akiuliza swali
No comments:
Post a Comment