Wadau wakibarizi Nyumbani Ilikuwa ni furaha tupu Jide na wadau Gadna na wadau Gadna, Muddy na Ankal wakiwakilisha Bwawa la Maini Wakali wa Hip Hop wakiwa Nyumbani Wadau wa Arusha ndani ya Nyumba Master J na Jaffarai wakiwakilisha
Lady Jay Dee na Machozi Band wakifanya vitu vyao usiku huu katika uzinduzi wa kiota kipya kabisa cha Nyumbani Lounge kilichopo Namanga,ubavuni mwa Best Bite.
Machozi Band na Lady Jay Dee wakikamua usiku huu.
hivi ndivyo mambo yalivyo ndani ya Nyumbani Lounge usiku huu.
No comments:
Post a Comment