Wednesday, 13 April 2011

Dream Team mpya ya CCM

Makamu wa Rais akimpongeza mjumbe wa kamati kuu ambaye pia ni Katibu wa Siasa na Mambo ya Nje wa CCM Mh. January Makamba. Shoto ni Nape Nnauye ambaye ni Katibu wa itikadi na Uenezi
Mh. January Makamba akufuatilia kinachoendelea

Katibu Mkuu wa CCM wa zamani Mh. Yusuf Makamba akitoa kauli kabla ya yeye na sekretarieti na kamati kuu kuamua kukaa pembeni kupisha timu mpya


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Iddi Seif

akimpongeza January Makamba

Dream team ya CCM ikijadiliana
Gamba jipya ndani ya nyumba nyeupe
Wakishangilia

Wakiwa kikaoni


















No comments:

Post a Comment