Friday, 22 April 2011

HARAMBEE ARIZONA KUISAIDI TAASISISI YA WAMA

Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akihutubia hafla hiyo huko Arizona leo
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete(kushoto) Mke wa muasisi wa Project C.U.R.E. Dk. AnnaMarie Jackson pamoja na Balozi wa Tanzania Marekani Mh. Mwanaidi Sinare-Maajar wakiimba wimbo wa Taifa letu.
Mama Salma Kikwete na Mke wa Founder AnnaMarie Jaack
Kikundi cha ngoma cha Arizona kikitumbuiza katika uzinduzi

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akikaribishwa na Mwenyeji wake Rais wa Project C.U.R.E Dk. Douglas Jackson katika hafla ya harambee ya kuchangisha fedha kuisaidia Taasisi hiyo vifaa vya afya na dawa zenye thamani ya shilingi Bilioni 45 za Kitanzania ili kusaidia kupambana kupunguza vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga nchini.

Mama Kikwete na mwenyeji wake Dk. Douglas Jackson baada ya uzinduzi
Baadhi ya wageni walikwa ktk hafla wakimkaribisha MK wa WAMA Mama Kikwete.JPG
wageni waalikwa wakiwa ukumbini kumsikiliza Mkti wa WAMA Salma Kikwete
wageni waalikwa wakiwa ukumbini kumsikiliza Mkti wa WAMA Salma Kikwete. Picha zote na mdau Mwanakombo Jumaa wa MAELEZO

No comments:

Post a Comment