Saturday, 23 April 2011

fiesta soka bonanza larindima jijini mwanza leo


Liverpool
Man U
Chelsea.

Barcelona
Ac Millan

Mmoja wa waratibu wa iesta soka bonanza,Abdull akiwa kwenye mchakato mzima mapema hii asubuhi jijini Mwanza tukielekea CCM Kirumba.
Mashabiki wa Man U kama kwaida yao,hata kama wako sita kwa shangwe na makelele aaahhh wako safi sana,
Mmoja wa wafanyabiashara akiwa amesimama barabarani akishangaa maandamano ya Fiesta Soka Bananza yakipita barabarani kutoka uwanja wa Nyamagana na kuelekea uwanja wa CCM-Kirumba.
Golden Moment ya dereva Tax huyu ni pale alipokutana na mratibu wa Fiesta Soka Bonanza 2011,Shafii Dauda na kumpa kibeji cha Man U atie saini yake kama uonavyo pichani.
Haaa haaaa utamtaka,Mshabiki wa Chelsea akisuburi maandamano yampitie
Man u wakitamba barabarani.
Jeshi i la polis limetoa msaada mkubwa kwenye maandamano haya ya Fiesta Soka Bonanza katika suala la zima la usalama barabarani,kama umuonavyo askari huyu wa usalama barabarani akitoa eskoti kwenye maandamano hayo mapema leo asubuhi jijini Mwanza.
Washabiki wa Chelsea wakijmwaya mwaya kwenye maandamano.
Askari wa usalama wa Barabarani akitoa muongozo.
Mashabiki wa vilabu mbalimbali za nje,wa jijini mwanza wakiwa wameandamana mapema asubuhi kwenye mchakato mzima wa kuelekea uwanja wa CCM Kirumba
Mtungo wa magari ukiwa umesimama, ukiyapisha maandamano ya Fiesta soka bonanza mapema leo asubuhi jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment