Saturday, 23 April 2011

Style Motomoto fashion show ya mwisho 2011


Khadija Mwanamboka akimpa shada la maua mbunifu anayekuja juu kwa kasi Farha Sultan baada ya onesho la mwisho la Style Motomoto kwa mwaka huu katika hoteli ya Double Tree jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Mbunifu mkali Kemi Kalikawe akitambulishwa baada ya bonge la show
Mwanamitindo na mlimbwende Irene Kiwia naye ni mbunifu hodari ambaye alionesha mitindo yake
Sehemu ya umati uliohudhuria
Vitu vya Farha Sultani
Modo katika mitindo ya Farha
Ubunifu wa Farha
Farha ana nguo kwa kila mtu
Makali ya Farha
Ushindwe wewe tu
Modo anayekuja juu kwa kasi akionesha mambo
Mtembeo wa mwisho wa mamodo na wabunifu
Khadija Mwanamboka akiwa na Raqey ambaye kampuni yake ya iView imefadhili Style Motomoto
Ubunifu wa hali ya juu
Wabunifu wakipita jukwaani
Professional MC Taji Liundi akiwa kazini
Irene Kiwia na modo katika mtindo ake
IView tena hahaaaa
Professional MC Taji Liundi akitambulisha wataalamu wa backstage waliofanikisha show hii na zote za Style Motomoto
Wadau wakifualitilia show
Wadau waliokuwepo pia
Fideline Ilanga (kulia) na wadau wakati wa show
Baadhi ya wadau waliofika kwenye show
Khadija Mwanamboka na Farha Sultani wakiwa na mdau na Shamim Zeze wa 8020fashions (shoto)

No comments:

Post a Comment