Tuesday 12 April 2011

Prof. Mwandosya afurahia Maji kumwagika UDOM


Waziri wa Maji Prof Mark Mwandosya akifurahia maji yanayotoka katika moja ya visima vilivyochimbwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dodoma (DUWASA) katika Chuo Kikuu Cha Dodoma. Shoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo yz Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa walipotembelea UDOM mwishoni mwa wiki.Serikali imetoa Sh Milioni 400 kwa ajili ya Uchimbaji wa Visima ili kukabiliana na tatizo la Maji katika Chuo Kikuu Cha Dodoma. Picha na mdau Nurdin Ndimbe wa Wizara ya Maji.

No comments:

Post a Comment