Monday 11 April 2011

Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Peter Kallaghe Atembelea Timu ya Mpira ya Watoto Reading

Mh Balozi Kallaghe Akiwa amembeba beki anaekuja juu wa Reco team
Mh Balozi Kallaghe Akiwa amembeba beki anaekuja juu wa Reco team
Mh Balozi akiwa na Frank
Mh Balozi Akipata maelezo kutoka kwa kocha ya timu Ya Reco.
Mh Balozi akienda kukagua Timu Ya Reco
Mh Balozi akiwasilimia Timu ya Reco.
Mh Balozi akiwa na Timu ya watoto Reco mjini Reading pamoja Viongozi wa TA na Urban Pulse
Timu Ya Reco Ikijiaanda kupiga Boli.
Gemu ishaanza
--
Salaam,

URBAN PULSE CREATIVE inawaletea picha za ziara ya Mh Balozi Peter Kallaghe iliyofanyika mjiini Reading wikiend iliyopita.Mh Balozi alipata fursa ya kuonana uongozi na timu ya watoto ya mpira wa miguu inayoitwa RECO ambayo ni academy inayosaidia kukuza vipaji vya watoto wa kitanzania hapa Reading na baade kuwapeleka kwenye academy kubwa kama Reading Madejeski n.k

Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE

No comments:

Post a Comment