Friday 16 December 2011

EVANS BUKUKU’S COMEDY SHOW – THOSE CRAZY EAST AFRICAN @ GOLDEN TULIP

 Mchekeshaji Maarufu nchini ambaye ni Kiongozi wa Kundi la Vuvuzela Entertainment,Evance Bukuku akionyesha umahiri wake wa kuchekesha kwa mashabiki lukuki (hawapo pichani) usiku huu kwenye hotel ya Golden Tulip,iliopo Masaki jijini Dar es Salaam.
 Mchekeshaji Dogo Pepe akifanya vitu vyake wakati onyesho hilo,
 Mchekeshaji wa Kundi la Vuvuzela Entertainmet atambulikae kama Enika akiimboa moja ya nyimbo zake za vichekesho usuku huu.
Mchekeshaji kutoka Nchini Kenya,Mdomo Baggy akifanya vitu vyake.
 Mchekeshaji kutoka Nchini Uganda,Uncle Bob akifanya vitu vyake.
 Evance Bukuku akiwa na mmoja wa washindi wa bahati nasibu iliyochezeshwa ukimbini hapo kutoka kwa watentengezaji wa kinywaji cha Dodoma Wine ambapo msindi huyo alijinyakulia mwamvuli mpya kamabisa kama aonekanavyo pichani.
 Ilikuwa ni vunja mbavu ya kufa mtu maana kina aliefika ukumbini hapo basi ni lazima alicheka ipasavyo kutokana na vichekesho vilivyokuwa vikitolewa na wachekeshaji hao. 
 Wadau Mbalimbali walikuwepo. 
 Hii ndio Timu nzima ya Vuvuzela Entertainment ikiongozwa na Evance Bukuku.
 Kina sie hata hatukosagi katika mambo hizi.
Mdau Adam Gille akiendeleza libeneke katika show hiyo.

No comments:

Post a Comment