Sunday 11 December 2011

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU JIJINI LONDON ZAFANA

 Ali Kiba akipagawisha wakati wa sherehe za miaka 50 ya Uhuru zilizofana sana jijini London
 Nyomi ya London siku hiyo
 mambo yalikuwa moto
 Diamond akifanya vitu vyake
 Ali Kiba akituzwa na mashabiki
 Nyomi
 Profesa J Jukwani
 Balozi wetu Uingereza Mh Peter Kallaghe akiwa na wasanii Ali Kiba, Diamond na Profesa J
 Mdau Ali Muhidin na mastaa wa Bongo Fleva
 Balozi na naibu balozi na mastaa wa Bongo Fleva. Kutoka kulia Professor Jay, Mrs Kallaghe, Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mh. Kallaghe, Mariamu Kilumanga, Diamond, Alikiba, Naibu Balozi Mh.Kilumanga na Irene 

Kutoka kushoto balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mh. Kalleghe, Mrs J. Kalleghe, mwandishi wa BLOG YA TZ-ONE Bw. Ally Muhdin na mwandishi wa kujitegemea Nisha Ligon

No comments:

Post a Comment