Saturday 10 December 2011

Rais Kikwete azindua rasmi jengo jipya la Chuo cha Taifa cha Utalii jijini Dar es salaam

 Rais Jakay Kikwete akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Mh Henri De Raincourt wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii Tanzania Bi Agnes Mziray mara wakati wa sherehe za uzinduzi wa jengo jipya la chuo hicho lililopo mtaa wa Garden Avenue na Shaaban Robert  mkabara na Chuo cha IFM na Makumbusho ya Taifa na nyumba ya Utamaduni
 Rais Kikwete na Mh Raincourt wakitembezwa sehemu mbalimbali za chuo
 Champaine inafunguliwa
 Kukata utepe
 Kuzindua plakadi
 Kubinjua pazia

















































No comments:

Post a Comment