wadau wakisikiliza mawaidha ya dini
Mawaidha yamewakolea wadau
Sheikh akitoa khadith
Wazee wa Saigon ndani ya nyumba
Saigon iliwakilishwa vyema
Neno likitolewa
Ohoooooo... Bwa'Dossa upo?? Rubama yuko wapi leo?
Wadau haflani
Umoja na undugu wa kuigwa
Shaba nne zilipigwa...
Ni wakati wa ubeche....
wadau wakiwa katika foleni ya mpunga
Ubeche wa pamoja una raha yake
wadau
Kinamama walikuwapo kwa wingi
Bufee la nguvu
Waratibu wakiangalia mambo yanaenda sawa wakati David Mgwassa 'akionja' ubeche huo
Hapa haliharibiki neno
Wadau katika foleni
"....Yaani ndio natua toka London, nikaona nisikose mpunga huu" Da'Asha Baraka akimwambia Mgwassa
Wadau wakipata
Kinadada na kinamama wapo katika kujipendelea
Wadau
Dayati baadaye....
Tonge nyama...
Stori kwa wingi...
Mpunga wa paamoja mtamu bwana...asikwambie mtu
Wadau wakihesabu mchele
Ibrahim Kapenta mezani pake na wadau
Ni siku ya kukutana na uliopotezana nao muda mrefu
Jose Mara akiongoza mashambulizi
Mpunga umekolea
Viongozi wa dini na waratibu
Wadau toka kila pembe ya jiji |
Da'Asha Baraka akipiga stori na Jose Mara
Meza ya wadau wa ughaibuni
Mkutaniko wa marafiki
Stori mtu
Friends of Simba ndani
Stori zikiendelea
Marafiki wakiwa meza moja
Viongozi wa dini wakifurahia kuona jinsi watanzania wanavyodumisha umoja kwa hafla kama hii bila kujali tofauti zao za rangi, jinsia ama imani
Ubeche
Kinadada mezani
Da hii foleni haiishi tu??
Ubeche, here we come....
No comments:
Post a Comment