Friday, 13 January 2012

Rais Kikwete atembelea makazi mapya ya walioathirika na mafuriko jijini Dar

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Jordan Rugimbana akiongea
 Baadhi ya wabunge wa mkoa wa Dar es salaam na waliohudhuria hafla hiyo
 Sehemu ya waathirika
 Katibu Mtendaji wa Msalaba Mwekundu nchini Alhaj Kimbisa akieleza mikakati ya taasisi yake
 Meneja Uhusiano wa TANESCO Bi Badra Masoud akiongelea kuhusu utayari wa shirika hilo kuleta umeme sehemu hiyo
 Rais Kikwete akipokea baadhi ya vyombo vya nyumbani ambavyo kampuni ya Home Shopping Centre imetoa kwa kila familia iliyoathirika. Anayekabidhi ni Mkurugenzi wa HSC Bw Gharb Said Mohamed
 Rais Kikwete akipokea taa ya sola ambayo kila familia itapatiwa bure na HSC
 Kamanda Suleiman Kova akihakikishia wakaazi wa hapo ulinzi wa uhakika

 Rais Kikwete akimpongeza Mama Salma Kikwete kwa msaada ambao taaisisi ya WAMA imetoa kwa waathirika hao
 Rais Kikwete akimpongeza Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya TSN Bw. Farouk ambaye amejitolea sare za shule, viatu, soksi na madaftali kwa wanafunzi wote walioathirika na mafuriko
 Rais Kikwete akimpongeza diwani Abbas Tarimba kwa msaada kwa waathirika
 Rais Kikwete akiongea 
 Rais Kikwete akitembelea moja ya mahema
 Rais Kikwete akitembelea eneo la makazi mapya kwa waathirika wa mafuriko
 Rais Kikwete akiongea na waathrika na kuwahakikishia kwamba watahudumiwa vyema pamoja na kupewa viwanja vya kujengea nyumba
 Mmoja wa waathirika akieleza aina ya changamoto wanazokumbana nazo 
 Rais Kikwete akiaga
 Rais Kikwete akiongea na askari wa JKT wanaosaidia mchakato wa makazi mapya kwa waathirika wa mafuriko
Rais Kikwete akikagua maeneo hayo ya makazi mapya

No comments:

Post a Comment