Sunday 8 January 2012

henry mdimu a.k.a zee la nyeti achomoka kwenye klabu ya makapera


Mdau Henry Mdimu a.k.a Zee la Nyeti akionyeshana malavidavi na mai waifu wake 
Mdau Henry Mdimu akitambulisha ndugu,jamaa na marafiki zake huku ubavu (mkewe) wake ukisikiliza kwa makini wakati wa utambulisho huo.
kula mamsap wangu wa kufa na kuzikana.
wakati wa maakuli uliwadia na maharusi ndio walioongoza kwa wageni waalikwa katika zoezi hilo.
Mdau Mroki Mroki na mai waifu wake pia walikuwepo katika mnuso huo.

Msanii Bongo Fleva,Barnabas akitumbuiza katika hafla hiyo.
Mzee wa Libeneke,Ankal Michuzi na ubavu wake (kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Maharusi.
Mduara ukisongeshwa.
wapendanao.
Wadau Othman (kushoto) na Ahmad Michuzi (kulia) wakiwa na maharusi ukumbini hapo.
 Maharusi na wapambe wao.
 wakati wa keki.
 Kwaitoozz
 Ma MC's
 Mwana FA na wadau.

No comments:

Post a Comment