Wednesday 4 January 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA BALOZI ATHUMANI MHINA KIJIJINI MNYUZI, KOROGWE, MKOANI TANGA LEO

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Rais Mstaafu Mh Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu Mh Frederick Sumaye, Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara Mh Pius Msekwa na wao mbolezaji wengine kwenye mazishi ya Mwenyekitiwa Jumuiya ya Wazazi Taifa Balozi Athumani Mhina kijijini Mnyuzi, Korogwe, mkoani Tanga leo.
Rais Kikwete akiweka udongo kaburini.
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akiweka udongo kaburini.
Waziri Mkuu Mstaafu Mh Frederick Sumaye akiweka udongo kaburini
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mh Pius Mzekwa akiweka udongo kaburini.
Baadhi ya Waombolezaji wakiwa kwenye maziko ya aliyekuwa Mwenyekitiwa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Balozi Athumani Mhina kijijini Mnyuzi, Korogwe, mkoani Tanga leo.
Mwili wa Marehemu ukitolewa nyumbani tayari kwa safari ya Mazikoni.
Rais Kikwete akiongozana na viongozi wengine kuelekea kaburini.
Baadhi ya Waombolezaji wakiwa Msibani leo.

No comments:

Post a Comment