Monday 2 January 2012

Watanzania Waukaribisha Mwaka Mpya 2012 Kwa Furaha Ndani Ya Dallas, USA

Description: http://www.bongoradio.com/news_image/68_386064_10150579716582265_647862264_10808822_1428039229_n.jpg
Watanzania kutoka miji mbalimbali na waishio katika mji wa Dallas jimbo la Texas nchini Marekani waliukaribisha mwaka 2012 kwa furaha na sherehe kubwa iliyofana siku ya mkesha wa mwaka mpya katika ukumbi wa Ginas Banquet Hall.
Description: http://www.bongoradio.com/news_cont_img/dallasnyparty1.jpg
Sherehe hizo ambazo ziliwakutanisha Watanzania kutoka miji mbalimbali nchini Marekani, pia zilihudhuriwa na marafiki mbalimbali wa Watanzania kutoka Kenya, Uganda, Nigeria na nchi nyingine nyingi za Afrika huku wakiburudishwa vya kutosha na DJ maarufu wa Bongo Radio na FunkHouse Entertainment DJ Dennis kutoka jijini Minneapolis, MN.
Description: http://www.bongoradio.com/news_cont_img/djdennis%20dallas2.jpg
Umahiri mkubwa wa katika uchanganyi wa muziki wa DJ Dennis uliwafanya wahudhuriaji wote kushindwa kujizuia na kuivamia steji ya kuchezea muda wote wa sherehe hiyo.
Description: http://www.bongoradio.com/news_cont_img/dallasnyparty5.jpg
Wadau (wa pili kulia ni “Richie Rich”)
Description: http://www.bongoradio.com/news_cont_img/dallasnyparty4.jpg
Chama, dada na Bob So
Description: http://www.bongoradio.com/news_cont_img/dallasnyparty7.jpg
“Shawn P. Diddy” na Frank Maji
Description: http://www.bongoradio.com/news_cont_img/dallasnyparty8.jpg
Wadadaz wa Dallas, TX (1)
Description: http://www.bongoradio.com/news_cont_img/dallasnyparty6.jpg
Wadadaz wa Dallas, TX (2)
Description: http://www.bongoradio.com/news_cont_img/dallasnyparty3.jpg
Wadadaz wa Dallas, TX (3)
Description: http://www.bongoradio.com/news_cont_img/dallasnyparty2.jpg
Ahmed Chande (katikati) na wadau
Description: http://www.bongoradio.com/news_cont_img/dallasnyparty10.jpg
Wadadaz wa Dallas, TX (4)
Description: http://www.bongoradio.com/news_cont_img/dallasnyparty9.jpg
Wadadaz wa Dallas, TX (5)
Description: http://www.bongoradio.com/news_cont_img/dallasnyparty11.jpg
Description: http://www.bongoradio.com/news_cont_img/dallasnyparty12.jpg
Sherehe hiyo ya kuuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2012 iliandaliwa kwa ushirikiano mkubwa na Watanzania waishio Dallas ambao ni Alvin Mchaga( katikati), Kitova Mungai kutoka Ngome Entertainment (kushoto) na Peter Kihwili (kulia).

No comments:

Post a Comment