Tuesday 24 January 2012

Wadau Godfrey Simbeye na Renilda Lyapembile washerehekea miaka 20 ya ndoa yao

Wapendanao Godfrey Simbeye na Mkewe Renilda Lyapembile wakionekana ni wenye furaha sana wakati wa sherehe yao ya kuadhimisha miaka 20 ya ndoa yao,ambapo waliifanya kwa kumshukuru Mungu kwanza katika kanisa katoliki la st. Peters lililopo Oysterbay Masaki na baadae sherehe babkubwa kwenye ukumbi wa Msasani beach club, Makuti Hall na kuhudhuriwa na watu kibao.hafla hii ilifanyika hivi karibuni jijini Dar.
Godfrey Simbeye na Mkewe Renilda Lyapembile pamoja na wazee.
Godfrey Simbeye na Mkewe Renilda Lyapembile wakiwa na kijana wao mpendwa.
wakijiandaa kukata keki.
Wapendanao wakilishana keki.
Bw. Godfrey Simbeye akimvisha pete Mkewe Renilda Lyapembile.
Wakati wa Maakuli ukawadia.
Wakiingia kanisani.
Picha ya Pamoja na Wapambe wao.
Wapambe nao hawakuwa nyuma kupata picha ya pamoja.
Fataki zikiruka.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa kanisani kabla ya kwenda ukumbini.

No comments:

Post a Comment