Friday 13 January 2012

Heshima za mwisho kwa Kamishna wa Magereza Elias Mtige Nkuku leo

 Mama Salma Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa Kamishna Elias Mtige Nkuku aliyefariki dunia juzi jijini Dar es salaam na mwili wake kuagwa katika Bwalo la Maafisa wa Magereza Ukonga jijini Dar es salaam kabla ya kusafirishwa kwenda Singida kwa maziko
 Rais Kikwete akitoa pole kwa familia ya wafiwa. Kushoto ni Kamishna Mkuu wa Magereza Afande Nanyaro
 Rais Kikwete, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Salma Kikwete, Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Shamsi Vuai Nahodha  na viongozi waku wa vyombo vya ulinzi na usalama msibani hapo
 Sehemu ya waombolezaji



 Wachungaji walioongoza misa
 familia ya marehemu
 Familia ya marehemu





 Bw. Gaudence Temu, mmoja wa watu waliosoma na marehemu kitivo cha sheria chuo kikuu cha Dar es salaam akitoa salamu maalumu la wanafunzi wa darasa lao ambalo marehemu alikuwemo
 Misa inaanza
 Dua kwa marehemu
 Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho
 Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho
 Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Shamsi Vuai Nahodha akitoa heshima zake za mwisho
 Viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakijipanga kutoa heshima zao

No comments:

Post a Comment