Sunday 8 January 2012

rais wa zanzibar afungua jengo jipya la makao makuu ya wizara ya mifugo na uvuvi mjini pemba

Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifungua  pazia kuashiria uzinduzi wa Jengo jipya la Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba katika kijiji cha Weni, Wilaya ya Wete Pemba, lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 48 ya Mpinduzi matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Jengo jipya la Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba katika kijiji cha Weni, Wilaya ya Wete Pemba,katika shamra shamra za miaka 48 ya Mpinduzi matukufu ya Zanzibar.
Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi,Mussa Aboud Jumbe,akimueleza Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,Malengo na madhumuni ,katika sherehe za uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu a Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba,katika kijiji cha Weni,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kasakazini Pemba,baada ya kulizindua rasmi sambamba na maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi,Mussa Aboud Jumbe,akimpa maelezo Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakati alipotembelea  Jengo la Makao Makuu a Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba, lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia ,katika kijiji cha Weni,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,baada ya kulizindua rasmi sambamba na maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono wananchi wakati alipowasili katika viwanja vya Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi  Weni Pemba, kulizindua rasmi jengo hilo, lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia ,ikiwa ni katika shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi,Mussa Aboud Jumbe,akimkaribisha Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Said Ali Mbarouk,kusema machache aweze kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, Kuzungumza na Wananchi wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Wizara hiyo huko Weni Pemba, lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia, ikiwa ni shamra shamra  za Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Wananchi kutoka Vijiji mbali mbali vya Wilaya ya Wete Pemba,wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi hao wakati wa sherehe za uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba,lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia,pia ikiwa ni shamra shamra za Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Wananchi kutoka Vijiji mbali mbali vya Wilaya ya Wete Pemba,wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi hao wakati wa sherehe za uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba,lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia,pia ikiwa ni shamra shamra za Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika sherhe za Uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Wizra ya Mifugo na Uvuvi Pemba, lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia,wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,alipozungumza na wananchi na Wavuvi wa  vijiji mbali mbali katika Wilaya ya Wete,baada ya uzinduzi rasmWi wa jengo hilo,sambamba na maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Said Ali Mbarouk,akimakaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na wnanchi baada ya kulizindua jingo jipya la Wizara hiyo huko Weni Wete Pemba jana,sambamba na kuadhimisha miak 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman Pemba.

No comments:

Post a Comment