Friday, 22 July 2011

Uzinduzi wa uhamasishaji jamii kuvaa kofia wapandapo pikipiki

IGP Mwema akikata utepe kuashiria uzinduzi huo Mkuu wa kitengo cha Polisi cha Maboresho, Lucas Kusima akielezea kuhusu maboresho mbalimbali yaliyofanywa na jeshi hilo Mkuu wa Oparesheni wa Jeshi la Polisi, Kamishna Paul Chagonja akifafanua mbamo mbalimbali hasa kuhusu oparesheni iliyotangazwa leo na IGP, Mwema ya kusalimisha silaha zinazomilikiwa isivyo halali Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP, Said Mwema (katikati) akiangalia wakati Balozi wa Hiari wa Uvaaji wa Kofia nchini, Ritta Poulsen (kulia kwake) baada ya Taasisi ya Helmet Vaccin Initiative Tanzania, ilipokabidhi msaada wa helmeti 500 kwa jeshi hilo, wakati wa hafla ya uzinduzi wa uhamasishaji jamii kuvaa kofia hizo wakipanda pikipiki Dar es Salaam leo. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA) Mkuu wa kitengo cha upelelezi wa makosa mtandao, Afande Kasala, akielezea jinsi wanavyopambana na uhalifu huo Sehemu ya waandishi wa habari na baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi wakisikiliza IGP Mwema akimkabidhi mtangazaji wa EAST AFRICA RADIO, David gumbo kitabu kinachoelezea sheria za umiliki wa silaha mbalimbali nchini IGP Mwema akijibu maswali mbalimbali wakati wa uzinduzi wa kuanza kuhakiki silaha nchini, uvaaji helmeti na uhamasishaji jamii kutii sheria bila kusurutishwa Kamishna wa Polisi, Clodwin Mtweve akisisitiza jambo katika mkutano huo

No comments:

Post a Comment